Kuliko Jana (feat. RedFourth Chorus)

-
  • TextText file is a kind of computer file that is structured as a sequence of lines of electronic text.
  • WordUse for Microsoft Office Word or Open Office
  • PDFUse for Abobe Acrobat

Kuliko Jana (feat. RedFourth Chorus) - Sauti Sol Lyrics


Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Nakuomba Mungu awasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki
Ujue binadamu ni waajabu sana
Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu ni waajabu sana
Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusitaBwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)
Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)
Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Yesu nipende leo kuliko janaWewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondoleaBwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko Jana
Kuliko Jana
Nipende leo Kuliko Jana

Kuliko Jana (feat. RedFourth Chorus) lyrics !!!