Lazizi

-
  • TextText file is a kind of computer file that is structured as a sequence of lines of electronic text.
  • WordUse for Microsoft Office Word or Open Office
  • PDFUse for Abobe Acrobat

Lazizi - Sauti Sol Lyrics


Lazizi wangu we
Zawadi nono kutoka mbinguni
Nakuwaza my baby (Nakuwaza my baby)
Nikikuwaza usiku silaliNikikuona na wengine nashikwa na wivu
Naomba unipe number yako nikuvutie wire
Nikupeleke Java
Tunywe kahawa
Tukizubaa dubaa dubaa
Verse 2:
Mukhali wanje we
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasayeZunguka zunguzukane
Nikitafuta kama wewe
Mi nafeel so nice
Unanipa mi amani
Mbele Baby
Sioni njia bila wewe
wewe... eeeh Lazizi
Mazoe manana (Mazoe manana ah)
Kadonangaeuta na lola, Na
Kanisakayo sheri nanga
Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)

Lazizi lyrics !!!